Monday, November 17, 2014

PATRICK KLUiVERT ATUA BONGO

Patrick Stephan Kluivert, mchezaji wa
zamani wa timu ya Taifa ya Uholanzi
pamoja na klabu za Ajax, Milan, FC
Barcelona, Newcastle United, Valencia,
PSV Eindhoven, and Lille.
Kumbuka Patrick Stephan Kluivert,
yupo kisiwani Unguja kwa mapumziko
ya siku 2, amefikia katika hoteli ya La
Gema, na anatarijia kuondoka kesho
mchana kurejea nchini Uholanzi. Patrick Stephan Kluivert, mchezaji wa
zamani wa timu ya Taifa ya Uholanzi
pamoja na klabu za Ajax, Milan, FC
Barcelona, Newcastle United, Valencia,
PSV Eindhoven, and Lille, pia amekuwa
msaidizi kocha katika timu ya Taifa ya
Uholanzi 2012-2014
Kumbuka Patrick Stephan Kluivert,
yupo kisiwani Unguja kwa mapumziko
ya siku 2, amefikia katika hoteli ya La
Gema, na anatarijia kuondoka kesho
mchana kurejea nchini Uholanzi.

No comments:

Post a Comment