Tuesday, November 11, 2014

MTOTO WA BEKHAM AMEZIPIGA CHINI MAN UNITED NA CHELSEA NA KWENDA ARSENAL.

Mtoto mkubwa wa kiume wa
mwanasoka mahiri David
Beckham 'Brooklyn' amejiunga
na timu ya Arsenal baada ya
kuwagusa makocha wa Arsenal
kwenye majaribio pale Emirates.
Brooklyn mwenye miaka 15
alijaribiwa na Fulham mwaka
jana, mwalimu wa soka
aliyekuwepo uwanjani wakati wa
majaribio ya Brooklyn anasema
ni mchezaji mwenye uwezo wa
kuja kutegemewa. Mpaka sasa
mkataba wake ni wa muda tu ila
mwakani kana ataonyesha uwezo
atapewa dili kubwa zaidi lenye
pesa nyingi.

No comments:

Post a Comment