Monday, November 17, 2014

PATRICK KLUiVERT ATUA BONGO

Patrick Stephan Kluivert, mchezaji wa
zamani wa timu ya Taifa ya Uholanzi
pamoja na klabu za Ajax, Milan, FC
Barcelona, Newcastle United, Valencia,
PSV Eindhoven, and Lille.
Kumbuka Patrick Stephan Kluivert,
yupo kisiwani Unguja kwa mapumziko
ya siku 2, amefikia katika hoteli ya La
Gema, na anatarijia kuondoka kesho
mchana kurejea nchini Uholanzi. Patrick Stephan Kluivert, mchezaji wa
zamani wa timu ya Taifa ya Uholanzi
pamoja na klabu za Ajax, Milan, FC
Barcelona, Newcastle United, Valencia,
PSV Eindhoven, and Lille, pia amekuwa
msaidizi kocha katika timu ya Taifa ya
Uholanzi 2012-2014
Kumbuka Patrick Stephan Kluivert,
yupo kisiwani Unguja kwa mapumziko
ya siku 2, amefikia katika hoteli ya La
Gema, na anatarijia kuondoka kesho
mchana kurejea nchini Uholanzi.

Tuesday, November 11, 2014

MTOTO WA BEKHAM AMEZIPIGA CHINI MAN UNITED NA CHELSEA NA KWENDA ARSENAL.

Mtoto mkubwa wa kiume wa
mwanasoka mahiri David
Beckham 'Brooklyn' amejiunga
na timu ya Arsenal baada ya
kuwagusa makocha wa Arsenal
kwenye majaribio pale Emirates.
Brooklyn mwenye miaka 15
alijaribiwa na Fulham mwaka
jana, mwalimu wa soka
aliyekuwepo uwanjani wakati wa
majaribio ya Brooklyn anasema
ni mchezaji mwenye uwezo wa
kuja kutegemewa. Mpaka sasa
mkataba wake ni wa muda tu ila
mwakani kana ataonyesha uwezo
atapewa dili kubwa zaidi lenye
pesa nyingi.

Friday, November 7, 2014

CLUB LA BAMBA HAPATOSHI LEO

X-Pro Deejayz
********************
*BACK TO COLLAGE BASH*
-Location:LaBamba Club Sinza
-8th November 2014
-Entrace:10,000(with two free local
beers)
-Music:Video mixing from X-Pro
Deejayz
-Live berbacue,Shisha,fries and all
types of drinks available
Starting:-8:00pm till dawn
*Come and party with collage
babes........its gon'b craaaazy!!!*
********************

SI YA KUKOSA HII LEO

Mpango mzma kesho Jumamos tarehe 8/11/2014 pale @Rio_Gym_club Floor ya 5 ni tkk uznduz wa Mavaz mapya ya @OCTOBER2DCEMBER_FASHION_SHoW Kwanzia Saa 2:00 usku Kngilio 10,000/= ticket za kawaida Na 20,000/= ukiwa pale utakutana na watu wengne kbao kama vile  @Gihan_dimack_Miss_Tanzania_No_Tatu_2014 @Dk_Chen @Maimartha_wa_Jesse @Dayna_Nyange @Diana_Miss_Ubungo_no_Tatu 2014 na @Carolyne_Miss_Univecty2014 @Zara_Badel_Miss_Supra2014
pls Dont Miss it